Click here Kujifunza zaidi kuhusu PID na UTI. Umewahi kusikia kuhusu UTI sugu?, unaelewa nin kuhusu UTI sugu? Je kuhusu PID ? Bila shaka wewe ni mmoja kati ya wengi wasiofahamu tofauti ya magonjwa haya, PID ni Pelvic Inflammatory Diseases , ambayo ni mkusanyiko wa magonjwa yanayoshambulia Via vya uzazi vya mwanamke, PID , haiwezi kumpata mwanaume, mtoto au mzee. Mara nyingi huwapata wenye umri kati ya 16 na 30, na wenye historia ya wapenzi wengi, kutotumia kinga au magonjwa ya zinaa kama Gonorhoea, lakini pia bacteria wengine wa kawaida wanaosababisha UTI , wanaweza kupanda kwenye Via vya uzazi na kusababisha PID. PID inaambukiza UTI ni Urinary Tracy Infeections ,ni mkusanyiko wa magonjwa yanayoshambulia mfumo wa mkojo, kuanzia mrija wa mkojo, kibofu cha mkojo mpaka kwenye figo, UTI huwapata watu wa Rika zote, watoto, wazee, wanawake mpaka wanaume. UTI haiambukizi Kujifunza zaidi kuhusu PID na UTI , Tembelea chaneli yetu ya YouTube
YOUTUBE https://www.youtube.com/channel/UCV3IiSa95mSB7dVHoi52VGA ----